22
Wimbo wa Oscar marufuku kwenye vyombo vya usafiri
Mtangazaji na msanii mpya wa Hiphop nchini, Oscar Oscar leo Mei 22, 2025, ameitikia wito katika ofisi za Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) ambapo aliitwaa baada ya kuachia wim...
22
Wema Sepetu afundwa na Bodi ya Filamu
Mwigizaji Wema Sepetu amesema kuitwa kwake na Bodi ya Filamu Tanzania kumemfanya atambue thamani yake.Wema amesema hayo leo Mei 22,2025 baada ya kumaliza mazungumzo katika ofi...
22
Mfanyakazi Wa Diddy Naye Atoa Ushahidi
Wakati mashahidi wakiendelea kuongezeka mahakamani kufuatia na kesi ya Diddy, na sasa imeripotiwa kuwa aliyekuwa mfanyakazi binafsi wa Diddy, George Kaplan, siku ya jana Jumat...
21
Chris Brown Aachiwa Kwa Dhamana
Nyota wa R&B kutoka Marekani Chris Brown, ameachiwa kwa dhamana na mahakama Jijini London leo Jumatano Mei 21, 2025, baada ya kukaa rumande kwa takribani siku sita.Chris a...
21
Simba: Lavalava Yupo Huru Kuondoka Wasafi
Baada ya kuwapo kwa tetesi kuhusu msanii Lavalava kuondoka katika lebo ya WCB, Diamond Platnumz ameweka wazi akisema msanii huyo yupo huru kuondoka.Diamond ambaye anamiliki Le...
21
Bieber: Kumuoa Hailey Ulikuwa Uamuzi Bora Kwangu
"Nimefanya mambo mengi ya kijinga maishani mwangu, lakini kumuoa Hailey ndio jambo la akili zaidi nimewahi kufanya". Hii ni kauli ya mwanamuziki Justin Bieber akiliambia jarid...
21
Vitu Vilivyopatikana Kwenye Chumba Cha Diddy Vyaanikwa
Maafisa usalama wa serikali kuu nchini Marekani wametoa ushahidi mahakamani kwamba walikuta dawa za kulevya, mafuta ya watoto, vilainishi na kiasi kikubwa cha pesa taslimu zil...
21
King Kiba bado ana deni hapa
Kwa miaka ya hivi karibuni muziki wa Singeli umechukua nafasi kwenye tasnia ya burudani nchini, ambapo wasanii wa Bongo Fleva wameonesha kukubali kuwa kwa sasa muziki huo ni a...
21
Msanii Mavokali atapeliwa na kampuni ya Uingereza
Meneja wa mwanamuziki Mavokali, Jembe One ameweka wazi hali ya kiafya ya msanii wake kwa kusema alipatwa na tatizo la afya ya akili ingawa kwa sasa anaendelea vizuri.Jembe ame...
21
Msaga Sumu Aruhusiwa Kutoka Hospitali
Mwanamuziki wa Singeli nchini Msaga Sumu ameruhusiwa kutoka Taasisi ya Tiba na Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI), baada ya kupata ajali ya gari wakati akir...
20
Ricardo Momo atia neno ishu ya D Voice na Meja Kunta
Meneja na msemaji wa wasanii wa Lebo ya WCB, Mohamed Salum ‘Ricardo Momo’ amezungumzia sakata la mwanamuziki wa singeli Meja Kunta kudai kuvujishiwa wimbo D Voice ...
20
Vazi Lamponza Wema, Aitwa Bodi Ya Filamu
Bodi ya Filamu Tanzania imemuita msanii wa maigizo  Wema Sepetu kwa ajili ya mahojiano kuhusu picha jongefu  zilizorushwa kwenye mtandao wa kijamii zikionyesha ...
19
Tundaman kutoka maokoto ya soka hadi muziki
Tunaweza kusema Tundaman ni miongoni mwa wasanii wachache wa Bongofleva walioweza kubadilika kadri muziki unavyokua kitu kilichomfanya kuwepo masikioni mwa mashabiki kwa ...
19
Rapcha ajitenga na watoto wa 2000
Rapcha  amezaliwa Septemba 1999. Kwa hiyo kwa kulazimisha unaweza ukasema Rapcha ni mtoto wa ‘efu mbili’. Na wote tunajua kwa kawaida stori za madogo wa elfu ...

Latest Post