Kwenye ulimwengu wa mapenzi, inaonekana nyota wengi wa mpira wa miguu wanavutiwa zaidi na wanamitindo. Na hii siyo tu kwa Aziz Ki ambaye Februari 16, 2025 alifunga ndoa na mwa...
Historia imeandikwa. Ni katika sherehe ya harusi ya msanii na mfanyabiashara Hamisa Mobetto na mumewe kiungo wa Yanga Stephane Aziz Ki. Ambao jana Februari 19,2025 walifanya s...
Mama mzazi wa mfanyabiashara na mwanamitindo Hamisa Mobetto, Shufaa ameonesha furaha kufuatia na ndoa ya mwanaye huku akiweka wazi tuu anamshukuru Mungu kwa kumletea mkwe sahi...
Baada ya kuzuka kwa tetesi nyingi kuhusiana na harusi ya nyota wa Yanga na Mwanamitindo Hamisa Mobetto, hatimaye ndoa ya wawili hao tayari imeshapita.Ndoa hiyo imefungwa na Sh...
Baada ya tukio la kutoa mahari lililofanyika mapema Jana Jumamosi Februari 15,2025, hatimaye ndoa ya wawili hao inatarajiwa kifungwa leo kwenye moja ya msikiti uliyopo Mbweni....
MAMA mzazi wa Hamisa Mobetto aitwae Shufaa Lutenga maarufu 'Mama Mobetto 'amefichua siri akieleza siku ya kwanza mkwewe, Stephane Aziz Ki kukutana na Hamisa Mobetto alimtamkia...
Dakika chache baada ya kiungo wa Yanga, Stephanie Aziz KI kutupia kambani chuma tatu, furaha yake imemfanya kufichua juu ya ndoa yake na mwanamitindo Hamisa Mobeto.Azizi Ki am...
Unaweza kusema ni lugha gongana kutokana na kauli za mama wa msanii na mfanyabiashara Hamisa Mobetto, Shufaa Rutiginga kuhusu ndoa ya binti yake na nyota wa Yanga Stephanie Az...
Nyota wa soka wa klabu ya Yanga Stephane Aziz Ki na mjasiriamali Hamisa Mobetto wameendelea kuibua mijadala kwenye mitandao ya kijamii, baada ya kuchapisha video zikidai wawil...
Kiungo mshambuliaji wa ‘klabu’ ya Yanga, Stephane Aziz KI amekosa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka Burkina Faso akizidiwa kete na Edmund Tapsoba.Tuzo hiyo imetolewa ...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya Yanga Aziz Ki siku ya jana Mei 29, 2024 alitembelea klabu ya mpira wa kikapu ya Dar City Basketball na kufanya nao mazoezi huku akiweka wazi...
Kiungo wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto' amempongeza Stephane Aziz Ki kwa kuibuka mfungaji bora kwa kupachika mabao 21 huku akiweka wazi kuwa alistahili.Fei Toto ambaye amef...
Rais wa shirikisho la 'soka' Afrika (CAF), Patrice Motsepe amekiri kuwa goli la #Yanga lililokataliwa na mwamuzi katika mchezo wa robo fainali dhidi ya Mamelod Sundo...
Tazama furaha ya Mama wa mchezaji wa klabu ya Yanga Stephane Aziz KI baada ya kijana wake kufunga goli kwenye mchezo wa Robo Fainali ya CRDB Federation Cup, jana Jumatano dhid...