14
R. Kelly aishitaki serikali kwa kuvujisha taarifa zake
Nyota wa zamani wa R&B R.Kelly, ambaye anatumikia kifungo cha miaka 30 jela kwa makosa ya unyanyasaji wa kingono, ameishitaki serikali nchini Marekani kwa kosa la kuvujish...
26
Muigizaji Wylie akamatwa kwa wizi
Muigizaji kutoka nchini Marekani, #AdamWylie, anadaiwa kukamatwa na polisi kwa kosa la kuvunja maduka ya Ol Target nchini humo na kuiba bidhaa katika maduka hayo. #BurbankPD &...
20
Mashabiki wamchangia Ally Kamwe million 1
Ni masaa machache tangu ‘bodi’ ya ‘Ligi’ Tanzania kumpiga ‘faini’ ya million 1,  Afisa wa habari wa ‘klabu’ ya Yanga, Ally...
05
Afisa Habari wa Prisons akanusha kuahidiwa pesa mechi leo
Kufuatia taarifa zinazosambaa zikidai ‘klabu’ ya Tanzania Prison imeahidi dau la pesa kwa ‘timu’ hiyo endapo wataifunga Simba leo katika mchezo utakao ...
19
Kocha wa Singida, Middendorp aondoka
‘Kocha’ mpya wa Singida Ernst Middendorp ameripotiwa kuondoka kwenye 'klabuni' ikiwa zimepita siku kadhaa tangu kuingia katika kazi ya kukinoa kikosi hicho huku al...
17
Wafanyakazi wa Ndege wanaswa wakiba vitu vya abiria
Wafanyikazi wawili wa Mamlaka ya Usalama wa Uchukuzi (TSA) wamefumwa wakiiba pesa na vitu vingine kutoka kwenye mifuko ya abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Miami F...
31
Mipango ya Simba kimataifa
Akizungumza na waandishi wa habari Afisa wa Habari na Mawasilino wa 'klabu' ya Simba, Ahmed Ally kuelekea ‘mechi’ ya kufuzu hatua ya makundi dhidi ya ‘klabu&...
24
Skudu kutua kesho
Afisa habari na msemaji wa ‘klabu’ ya #Yanga, Ali Shabani Kamwe, leo katika mkutano na waandishi wa habari ameeleza kuwa mchezaji wao raia wa Afrika Kusini Skudu M...
22
Alikamwe: Hamisa aliniita mtoto, Siku nikilewa nitasema
Afisa Habari wa #Yanga Ali Shabani Kamwe amfikishia ujumbe mwanadada Hamisa Mobetto kuwa amesikia alivyomuita ‘kid’ na kudai kuwa siku akilewa atatoka hadharani na...
14
Yanga day kinawaka kwa Mkapa
Kumekuwa na minon’gono ya hapa na pale kwa mashabiki wa ‘klabu’ ya #Yanga kuhusiana umarufu walioutengeneza misimu miwili iliopita na kuwa imara kwenye timu ...
05
Mashatile achukizwa na walinzi wake kuwapiga raia
Makamu wa Rais nchini Afrika kusini, Paul Mashatile amelaani kitendo cha Maafisa wake wa ulinzi kuwashambulia Raia 2 baada ya video kuwaonesha Maafisa hao wenye silaha wakimko...
30
Raia waandamana kutaka afisa polisi akamatwe
Maelfu ya watu nchini Ufaransa wameandamana kwenye kitongoji cha kifahari cha Paris Nanterre siku mbili baada ya Afisa wa Polisi kumpiga risasi Nahel M, kijana mwenye umri wa ...
26
Maafisa washtakiwa kwa kukadiria kodi
Mahakama ya wilaya ya Kilwa mkoani Lind imewatia hatiani Maafisa Forodha wa TRA, Sultan Ali Nasor na Silver Maximillian kwa makosa ya matumizi mabaya ya madaraka na kutofanya ...
15
Maafisa wa polisi wanne wauwawa,Kenya
Maafisa wanane wa polisi nchini Kenya wameuwawa wakiwa katika gari lao lililolipuka katika shambulio linaloshukiwa kufanywa na kundi la jihadi lenye makao yake nchini Somalia ...

Latest Post