Rio de Janeiro jaji kutokea nchini Brazil, ameamuru kufutwa kwa wimbo wa 'Million Years Ago' wa mwimbaji wa Uingereza Adele kutokana na madai ya wizi wa kazi hiyo kutoka kwa m...
Mshindi wa Grammy mara 16 Adele ametangaza rasmi kupumzika kufanya shughuli za muziki kwa muda mrefu.Hayo aliyasema Adele siku ya Jumamosi Agosti 31 wakati akiwa kwenye tamash...
Kampuni ya Meta inayojihusisha na mitandao ya kijamii pamoja na kampuni inayoongoza duniani kwa kutoa burudani ya muziki 'Universal Music Group (UMG)' zimeingia makubaliano ma...
Thamani ya kitu hutokana na mtu anavyokichukulia, na wakati mwingine hata mbabe huwa na mbabe wake. Ikiwa leo ni Jumatano siku ambayo ulimwengu huadhimisha siku ya wanawake wa...
Mwanamuziki Adele ametangaza kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu wakala wa wachezaji Marekani Rich Paul, ndoa inayotarajiwa kufungwa siku zijazo.Adele amelithibitisha hi...
Kama wasemavyo waswahili binadamu ana sherehe tatu. Kwanza kuzaliwa, pili ndoa na tatu kufariki. Kutokana na maana hiyo kwa upande wa mtoto wa bilione Mukesh Ambani, Anant Amb...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Adele ameweka wazi kuwa kwa sasa yupo tayari kuanzisha familia na mpenzi wake Rich Paul, na endapo atabahatika kupata mtoto basi anatamani a...
Baada ya kushindwa kunyakuwa tuzo yoyote katika vipendele vitatu alivyoteuliwa na Grammy mkali wa Afrobeat Davido ameeleza kuwa licha ya kukosa Tuzo hizo baba yake mzazi Adede...
Shirika la ‘Universal Music Group’ linalojihusisha na masuala ya haki milizi za wasanii limeamua kuondoa nyimbo zake katika mtandao wa kijamii wa TikTok baada ya k...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, #Adele ameweka wazi kuwa kwasasa ameacha kunywa pombe, baada ya kupata madhara ya kuwa mlevi kupindukia.
Kwa mujibu wa CNN News inaeleza ku...
Mkali wa Afro Pop, ambae anatamba na ngoma yake ya Unavailable Davido anatarajia kupata mtoto mwingine na mkewe, Chioma Avril Rowland. Katika video waliyo post kupitia mtanda...