Toleo la 22 la tamasha la muziki la Sauti za Busara linalofanyika kila mwaka mwezi Februari Visiwani Zanzibar, limetajwa kuja kivingine huku likiongeza wasanii wa ndani na nje...
Mwanamuziki Justin Bieber amewashtua mashabiki baada ya kufuta urafiki na mkewe Hailey Bieber kwenye mtandao wa Instagram jambo ambalo limeibua mijadala mtandaoni. Hatua hii i...
Kwa Bongo ni nadra kukuta nyimbo za hip-hop zikipendwa na wanawake ama kuchezwa club, isipokuwa za wasanii wachache ndiyo hupata bahati hiyo.Kati ya wasanii hao ni Moni Centro...
Mwanamuziki wa Hip Hop na mtangazaji nchini Frida Amani anatarajiwa kufanya show katika tamasha la Sauti za Busara 2025, linalotarajia kufanyika kuanzia Februari 14 hadi 16.St...
Kila mwaka, watu duniani kote wanasherehekea kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwa njia mbalimbali. Mojawapo ya desturi maarufu ni kuwasha mishumaa kwenye keki na kisha baadaye ku...
Wakati shughuli za uapisho wa Rais mpya wa Marekani Donald Trump zikifanyika jana Januari 20,2025. Mke wa Rais huyo Melania Trump alitokea kwenye hafla hiyo akiwa amevalia ske...
Mkali wa Bongo Fleva kutoka TMK Wanaume Family, Chege kwa miaka zaidi ya 20 ametengeneza nyimbo nyingi kubwa ndani ya kundi hilo na akiwa pekee yake akifanya kazi na wasanii w...
Mkongwe wa ndondi, Mike Tyson yupo kwenye mipango ya kurejea tena ulingoni, licha ya kupoteza pambano lake la mwisho alilocheza Novemba, 15, 2024 dhidi ya Jake Paul.Utakumbuka...
Binti wa mwanamuziki na mwigizaji Tyrese Gibson, Shayla (18), amkataa mama yake aitwaye Norma Mitchell na kwenda kuishi kwa baba yake huku akishusha lawama kwa mama huyo.Katik...
Huu wimbo umemtia Diamond hasara tu!Staa wa Bongofleva kutokea WCB Wasafi, Diamomd Platnumz ameshirikiana na wasanii wengi wa kimataifa ambao wameikuza na kuitangaza chapa yak...
Mtindo wa kusimulia visa na matukio kupitia muziki hasa wa Rap au Hip Hip uliteka hisia za wengi kipindi cha nyuma, jumbe za kuelimisha ndizo zilichukua nafasi kwa asilimia ku...
Msanii kutokea nchini Marekani Rihanna, ambaye hajatoa albamu mpya tangu alipoachia album yake ya 'Anti' 2016, alionekana katika studio ya kurekodia huko Jijini New York Jumam...
Nyota wa muziki wa RnB nchini, Ben Pol amesema bado yupo sana katika fani hiyo licha ya ukimya wa muda mrefu uliotokana na kuamua kujipa likizo ya kutoachia kazi mpya yoyote.M...