Zuchu Apata ajali aumia goti

Zuchu Apata Ajali Aumia Goti

Msanii wa muziki wa bongo fleva kutokea lebo ya WCB, Zuchu amepata ajali iliyomsababishia majeraha katika goti lake.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Zuchu alithibitisha kupata ajali hiyo, ambapo amesema jana usiku siku moja kabla ya kwenda kuperfom kwenye shoo ya muhimu kwake, alipata ajali ndogo iliyoumiza goti lake.

"Nimepata ajali ndogo uliyoumiza goti langu jana siku moja kabla ya kwenda kuperfom kwenye show yangu ya muhimu nchini Nigeria, canceling a show is one of the hardest decisions siwezi as an artist leo ndo nimejua nitakwenda hivyohivyo," ameandika Zuchu.

 


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post