Zingatia haya kabla ya kununua bidhaa Instagram

Zingatia haya kabla ya kununua bidhaa Instagram

Ebwana mambo vipi bila shaka utakua uko fresh kabisa karibu ukurasa wetu wa smartphone kama kawaida ili kujadili mambo kadha wa kadha kuhakikisha unaitumia simu yako vizuri

Leo kwenye smartphone tutaangazia mambo ya kuzingatia kabla hujanunua bidhaaa mtandaoni, je unajua nini cha kufanya ili usitapeliwe?fuatailia dondoo hii kwa umakini mkubwa kabisa twende sawa.

Kutoka mitandaoni husususan Instagram kwa sasa kumekuwa na ongezeko la watu mbalimbali kufungua accout za kibiashara na kuuza vitu vya kwa njia ya mtandao,je mdau vipi unafanikisha zoezi hili bila kupotelewa na mzigo, au fedha yako?

Angalia bei

Tuanzie hapa kwanza kabisa hakikisha bei imeandikwa kwenye bidhaa husika ni muhimu sana kwani biashara nyingi sikuhizi zinawauzaji ambao sio waaminifu ambao wanataka upige simu ,au ingie DM ndipo akutajie bei.

Hatua hiyo inaonyesha kuwa biashara hiyo haina uaminifu,matangazo yote ya bidhaa jambo la muhimu ni kuweka bei ili kutoa nafasi kwa mnunuzi kwa ajili ya kufanya maamuzi ya haraka.

Wenye tabia hiyo wengi ni madalali wanahofia mteja anaweza akagundua bei halali mapma.

Piga simu kabla ya kununua bidhaa

Hakikisha unapiga simu kwanza kwa muhusika kabla hujanunua ile bidhaa usichart na muuzaji kwani wauzaji wengi ambao sio waaminifu hukimbilia kuchart kwanza na sio kuzungumza na mteja






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags