Zaidi ya asilimia 70.5 ya watanzania hawapigi mswaki vizuri

Zaidi ya asilimia 70.5 ya watanzania hawapigi mswaki vizuri

Utafiti uliofanywa na Wizara ya Afya kuhusu Afya ya Kinywa Nchini umeonesha zaidi ya Watu wazima Milioni 47 wameoza Meno na chanzo kikuu ni kutosafisha kinywa ipasavyo(vizuri).

Aidha Mkurugenzi Msaidizi wa Kinga ya Meno kutoka Wizara ya Afya, Dkt. Baraka Nzobo amesema utafiti umebaini Watoto waliooza meno Nchini ni 31.1%

Dkt. Nzobo ameitaka jamii kuzingatia Afya ya Kinywa haswa Wajawazito kwa sababu Magonjwa ya Kinywa yanaweza kusababisha Mimba kuharibika, Kifafa cha Mimba na kujifungua Mtoto mwenye uzito mdogo.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post