Yanga kuwania tuzo ya ‘klabu’ bora Afrika

Yanga kuwania tuzo ya ‘klabu’ bora Afrika

Mabingwa watetezi wa ‘Ligi’ Kuu Bara na washindi wa pili wa Kombe la Shirikisho Afrika msimu uliopita Yanga SC, wanawania Tuzo ya ‘klabu’ bora kwa wanaume kutoka CAF kwa mwaka 2023 huku watani wao Simba wakiwa hawapo kwenye kinyang’anyiro hicho.

Tuzo hizo zinatarajiwa kutolewa Disemba 11 mwaka huu nchini Morocco. Aidha kupitia tuzo hizo mlinda mlango wa ‘klabu’ hiyo Djigui Diarra ameingia katika kinyang’anyiro cha kuwania tuzo ya golikipa bora barani Afrika.

Unadhani ‘klabu’ ya Yanga itaweza kuchukua Tuzo hiyo?
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags