Kupitia ukurasa rasmi wa Snapchat, wa The Tanzanian Sweetheart Wema Sepetu ame-share ujumbe ambao umewashitua mashabiki wengi na kuwafanya waulizane kipi kimemkuta mrembo huyo.
Wema kupitia Snapchat yake ameshusha ujumbe usomekao, “Kufa sifi lakini cha moto nakiona”

Unadhani kuna lipi limemkuta Wema?
Leave a Reply