Wema, Halima Kopwe, Shilole kwa Jokate

Wema, Halima Kopwe, Shilole kwa Jokate

Baadhi ya ‘mastaa’ wa kike wajitokeza kumpongeza aliyekuwa Mkuu wa Wilaya Korogwe Jokate Mwegelo baada ya kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake (UWT), ambaye amefika ofisi za CCM mkoa wa Dar es Salaam kuchukua cheti cha uteuzi huo leo Oktoba 4 2023.

Ambapo baadhi ya ‘mastaa’ wenzie wa kike wakijitokeza kumpongeza na kumuunga mkono kwa hatua hiyo aliyoifikia akiwemo Wema Sepetu, Shilole, Halima Kopwe, Lulu Diva na wengineo.

Huku Wema sepetu akitia neno kwa kumpongeza Rais Samia kwa kuona wanawake wanaweza na kumaliza kwa kumpongeza Jokate Mwegelo  kwa kumueleza kuwa wanamuamini na kumuombea mungu aweze kutimiza majukumu yake vyema.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags