Wanasayansi waunda Nzi kwa kutumia kinyesi cha Binadamu

Wanasayansi waunda Nzi kwa kutumia kinyesi cha Binadamu

Timu ya wanasayansi kutoka Chuo Kikuu cha Macquarie cha Australia wameanza harakati kukabiliana na janga la taka duniani ambapo wameamua kuunda Nzi kwa kutumia kinyesi mwenye uwezo wa kusafisha taka za jiji.

Wanasayansi hao wanadai kuwa Nzi hao waliyoundwa kwa kutumia kinyesi cha binadamu wanaweza kusafisha mitaa, kupunguza kuenea kwa magonjwa na kuboresha usafi wa mazingira katika maeneo yenye watu wengi.

Aidha ubunifu unatazamiwa kufanyika kwa ajili ya kuimarisha afya ya umma na usafi katika miji na duniani kote, ambapo Nzi hao watasafisha miji kwa kula taka za aina mbalimbali kama vile mabaki ya chakula pamoja na mabaki ya uchafu kwenye viwanda.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags