Wanaigeria waandamana kifo cha Mohbad

Wanaigeria waandamana kifo cha Mohbad

Mashabiki na watu mbalimbali wamefanya maandamano nchini Nigeria kufuatiwa na kifo cha aliyekuwa mwanamuziki Mohbad, anayedaiwa kufariki kwa msongo wa mawazo na infection hivyo basi waandamanaji hao wanadai wanahitaji haki itendeke, juu ya uchunguzi wa kifo cha msanii huyo.

Siku ya jana kulikuwa na maandamano makubwa nchini humo ya kudai haki juu ya kifo cha Mohbad kufatiwa na watu kutopendezwa na kitendo cha yeye kuzikwa mapema kabla ya uchunguzi, ambapo alizikwa siku ya pili baada ya kifo chake na hivyo mwili wake umepangwa kufukuliwa kwa jili ya uchunguzi. Huku baadhi ya watu wakiwa wanamuhusisha msaanii Naira na kifo cha Mohbad.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags