Wahamiaji 59 wafariki baada ya boti kuzama baharini

Wahamiaji 59 wafariki baada ya boti kuzama baharini

Taarifa kutoka Italia ambapo Watoto 12 ni miongoni mwa waliopoteza Maisha katika Ajali hiyo huku Watu wengine kadhaa wakiwa hawajulikani walipo huku ikiaminika boti ilibeba kati ya Abiria 150 hadi 200.

Hata hivyo Watu 80 wamesalimika na baadhi yao wanasema Meli ilikuwa inakaribia Pwani ya Crotone eneo la Calabria.

Boti hiyo iliyotengenezwa kwa mbao iligonga mwamba na kusambaratika, ikiwa inatokea Uturuki na raia wa Afghanistan, Pakistan,Somalia na Iran  ambao wanakimbia Nchi zao kutokana na Umasikini na Machafuko






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags