Wachezaji walivyoingia na mama zao uwanjani

Wachezaji walivyoingia na mama zao uwanjani

Moja ya tukio lililowafurahisha na kuwavutia mashabiki wengi ni baada ya wachezaji wa ‘klabu’ ya #GetafeFC kutoka nchini Uhispania kuingia uwanjani na wazazi wao wakati wakielekea katika ‘mechi’ yao na ‘timu’ ya #AlthleticBilbao’ mchezo uliyochezwa siku ya jana Mei 3, 2024.

Kabla ya mchezo huo kuanza wakati wa kuingia uwanjani wachezaji hao waliingia na mama zao wakiwa wamewashika mikono.

Mchezo huo uliyopigwa katika dimba la ‘Coliseum Alfonso Pérez stadium’ ulitamatika kwa ushindi wa bao 2-0 huku ‘timu’ ya Althletic Bilbao ikiondoka na ushindi huo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags