Wachezaji na shauku ya kujua hatma ya Ten Hag

Wachezaji na shauku ya kujua hatma ya Ten Hag

Imeripotiwa kuwa baadhi ya wachezaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited bado hawajafanya maamuzi ya kusaini mikataba mipya ‘klabuni’ hapo wakisubiri kujua hatma ya ‘kocha’ wao, Erik ten Hag.

Ambapo imeelezwa kuwa ‘Presha’ inazidi kuwa kubwa kwa wachezaji hao baada ya ‘kocha huyo kuwa na dalili za kuondoshwa mwishoni mwa msimu huu kutokana na matokeo mabaya ‘klabuni’ hapo.

Kocha huyo mwenye umri wa miaka 54 alianza kukonoa kikosi cha #ManchesterUnited toka mwaka 2022 akitokea katika ‘timu’ ya #Ajax.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags