Waandishi wa habari waandamana, Tunisia

Waandishi wa habari waandamana, Tunisia

Wanahabari kutoka  nchini Tunisia wamefanya maandamano kupinga sheria dhidi ya ugaidi, wakiwa na mabango yenye jumbe tofauti wakidai sharia hiyo imetungwa ili kuvitisha vyombo vya habari.

Aidha walifika nje ya jengo la makao makuu ya muungano wa wanahabari wa Kitaifa

Sambamba na hayo mnamo mei 16, 2023 Mahakama ya rufaa ilimuhukumu mwandishi wa habari wa redio khalifa Guesmi kifungo cha miaka mitano kwa kufichua kuhusu huduma za usalama za nchi hiyo huku askari aliyepatikana na hatia ya kumpa habari akihukumiwa miaka 10 jela.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post