Waandamanaji 1500 wanaopinga matokeo ya Urais wakamatwa

Waandamanaji 1500 wanaopinga matokeo ya Urais wakamatwa

Kutoka nchini Brazil ambapo waandamanaji waliokamatwa ni wafuasi wa Rais aliyepita, JairBolsonaro ambao walivamia Bunge, Mahakama ya Juu na Ikulu Jijini Brasilia ikiwa ni wiki moja baada ya Luiz Inacio Lula da Silva kuapishwa kuwa Rais

Rais da Silva amelaani Maandamano hayo na kuita ni ghasia za kigaidi. Bolsonaro hakukubali matokeo na inadaiwa amelazwa Hospitali akisumbuliwa na Tumbo Nchini Marekani

Aidha, Rais wa Marekani, JoeBiden anapewa presha na Wanachama wa chama wake wakimtaka kutoruhusu uwepo wa Bolsonaro Nchini humo wakidai amesababisha machafuko

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags