Utafiti: Kufunga kunafanya watu wawe na afya njema

Utafiti: Kufunga kunafanya watu wawe na afya njema

Utafiti uliofanywa na Chuo cha Cambridge umeeleza kuwa kufunga mara kwa mara kunawaongezea binadamu uzalishaji wa mafuta muhimu na kusababisha kuwa na afya njema na kupunguza hatari ya kupata magonjwa kama vile Alzheimer's na Parkinson.   

Aidha Wanasayansi chuoni hapo wametilia mkazo suala hilo ambapo wameeleza kuwa kufunga pia kunaweza kupunguza uwezekano wa watu kupata magonjwa ya kudumu.

Alzheimer ni ugonjwa mbao unahusisha sehemu za ubongo zinazodhibiti mawazo, kumbukumbu.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post