Ujumbe wa Diamond kwa Rayvanny

Ujumbe wa Diamond kwa Rayvanny

Usiku wa kuamkia leo msanii wa muziki kutoka Tanzania Rayvanny ameandika historia kwa kupanda kwenye jukwaa la MTV EMA kwa mara ya kwanza na kufanya shoo.

Rayvanny amekuwa msanii pekee aliyeiwakilisha Tanzania katika utoaji wa tuzo hizo kitendo ambacho kimemfanya Mkurugeni wa Wasafi Nasibu Abdul maarufu kama Diamond kuandika ujumbe ufuatao.

“The first Afirican Artist to Perfom #MTVEMA @rayvanny Chui Niwakumbushe Msanii wa Kwanza Africa Kuperform MTVEMA anatokea Tanzania, Mkoa wa Wasafi na sasa ni Rais wa Next Level Mh @rayvanny … Vijana wenzangu Tujifunzeni Kuwa na Nidhamu na Fadhila ili Sanaa zetu zitufikishe mbali zaidi na tusiishie kwenye Mihadarati….🐅 #WCB4life #NextLevel #Tetema,” hayo ndio maneno ya Diamond

Naye Rayvanny amefunguka na kusema “Ni Mungu tu !!! Kama unaamini katika Mungu Type Amen!!! @mtvema 🔥🔥🔥 #Newchui 🐆🇹🇿,”.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags