Tyla: Tems Baby amefungua milango kwa wasanii

Tyla: Tems Baby amefungua milango kwa wasanii

Mwanamuziki kutoka nchini Afrika Kusini #Tyla amempongeza na kumsifia msanii mwenzake kutoka Nigeria #TemsBaby kuwa anakipaji kikubwa na amefungua milango kwa wasanii wengine.

Tyla ameyasema hayo kupitia moja ya mahojiano yake na chombo kimoja Cha habari huku akieleza kuwa ni heshima kufanya naye kazi.

Tyla ambaye amewahi kuwa mshindi wa Tuzo za Grammy mwaka huu kupitia wimbo wake wa ‘Water’ amefurahia kufanya wimbo pamoja na Tems Baby.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags