Trump hana baya kwa Snoop Dogg

Trump hana baya kwa Snoop Dogg

‘Rapa’ #SnoopDogg ameweka wazi kuwa hana baya na aliyekuwa Rais wa Marekani #DonaldTrump licha ya watu kuzusha kuhusiana na wawili hao kutokuwa sawa ambapo alidai kuwa anampenda na kumheshimu.

Kwa mujibu wa The Sun News, Snopp ameeleza kuwa Trump hajawahi kumfanyia kitu chochote kibaya bali amemfanyia mambo mazuri mengi na makubwa.

Likiwemo la mwaka 2021 la muwanzilishi mwenza wa Snoop, #MichaelHarris alisamehewa na #Trump alipo kuwa madarakani, baada ya kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa makosa ya mauaji na uuzaji wa madawa ya kulevya.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags