Trump ageukia kwenye uuzaji wa viatu

Trump ageukia kwenye uuzaji wa viatu

Aliyekuwa Rais wa Marekani #DonaldTrump ameingia katika soko la biashara ya kuuza viatu vya dhahabu aina ya ‘Never Surrender’ ambavyo vitauzwa kwa gharama ya Dola 399 sawa na tsh 1.01 milioni kwa jozi moja.

Viatu hivyo alivyozindua siku ya jana Jumamosi inaelezwa kuwa mpaka sasa amesambaza pear 1000 na watu wameonekana kuvikubali viatu hivyo vyenye muundo wa kisasa nchini humo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags