Taarifa ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imeeleza kuwa mvua kubwa itanyesha kwenye mikoa takribani 15 ambapo baadhi ya maeneo ya Mikoa ya Iringa, Mbeya, Songwe, Njombe, Rukwa, Katavi, Tabora, Kigoma, Singida, Dodoma na Ruvuma yatakabiliwa na Mvua kubwa Machi 14, 2023.
Aidha , mabadiliko hayo yatasababisha Mvua kubwa Machi 15, 2023 kwenye baadhi ya maeneo ya Mikoa ya Mara, Simiyu, Shinyanga, Mwanza, Iringa, Mbeya, Songwe, Njombe, Rukwa, Katavi, Tabora, Kigoma, Singida, Dodoma na Ruvuma
Hata hivyo kwa mujibu wa TMA, athari zinazoweza kujitokeza ni baadhi ya Makazi kuzungukwa na Maji pamoja na ucheleweshwaji wa baadhi ya shughuli za Uchumi na Usafirishaji.
Leave a Reply