Tiwa adai kuwa amekula chakula chenye sumu

Tiwa adai kuwa amekula chakula chenye sumu

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Tiwa Savage amedai kuwa amekula chakula chenye sumu.

Tiwa kupitia Instastory ame-share picha za dawa ambazo anatumia kwa ajili ya kupambana na sumu hiyo huku akiandika ujumbe kwenye picha hiyo usemao ‘Food poison’.

Hata hivyo mpaka kufikia sasa Tiwa Savage hajaweka wazi sehemu aliyokula chakula hicho.Post Descriptions






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags