Tetesi: Cristiano Ronaldo ‘atibuana’ na wakala wake

Tetesi: Cristiano Ronaldo ‘atibuana’ na wakala wake

Inadaiwa Nyota huyo wa Ureno hafanyi kazi kwa ukaribu na wakala wake, JorgeMendes kutokana na wawili hao kupishana mitazamo juu ya Timu ambayo Ronaldo anatakiwa kujiunga nayo

Inaelezwa kutokana na hali hiyo, Klabu zinawasiliana na Ronaldo (37) moja kwa moja kwaajili ya mazungumzo ya kumsajili badala ya kupitia kwa Mendes (56) ambaye amekuwa wakala wa Mchezaji huyo tangu Mwaka 2003.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags