Tanzania yashika nafasi ya 10 mamilionea wa dola

Tanzania yashika nafasi ya 10 mamilionea wa dola

Na Asha Charles

Kulingana na ripoti iliotolewa na kampuni ya utafiti ya New Worid Wealth and Henley partner iliotolewa machi 29, mwaka huu imeeleza kuwa Tanzania imeshika nafasi ya 10 kwa mamilionea wa dola, wakati mwaka 2022 ikishika nafasi ya 7.

Mbali na kushuka kutoka 7 mpaka 10, Tanzania imesalia kuwa nchi pekee kutoka Afrika mashariki kuwa yenye mabilionea wa dola wengi huku wengi wao wakiishi jijini Dar es salaam.

Ripoti hiyo imeonyesha kuwa Tanzania ina watu 2,400 wenye thamani ya utajiri wa dola1 na zaidi ya mtu mmoja mwenye thamani ya dola zaidi ya Bilioni 1.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags