Spider -Man 4 kuingizwa jikoni mwaka huu

Spider -Man 4 kuingizwa jikoni mwaka huu

Marvel Studios na Sony Pictures zipo kwenye mpango wa kuanza kurekodi filamu ya "Spider-Man 4" itayoongozwa na Tom Holland, Septemba mwaka huu, na itatolewa mwishoni mwa 2025.

Filamu hii imejizolea mashabiki wengi duniani hasa watoto, kutokana na maudhui yake yanayomuonesha Spider-Man kama shujaa anayeokoa watu kwenye matukio mbalimbali. Hata hiyo haijaishia tu kwenye movie pia anaonekana katika vitabu vya katuni vilivyochapishwa na Marvel Comics.

Kati ya waigizaji wa kwenye filamu hiyo ambayo huwa na matoleo tofauti tofauti ni Tom Holland, Tobey Maguire (Spider-Man 3), Jake Johnson (Spider-Man: Into the Spider-Verse), Drake Bell (Ultimate Spider-Man), Neil Patrick Harris(Spider-Man: The New Animated Series) Josh Keaton (The Spectacular Spider-Man), Nicholas Hammond (The Amazing Spider-Man), Hudson Thames (Your Friendly Neighborhood Spider-Man), Christopher Daniel Barnes (Spider-Man),Danny Seagren (Spidey Super Stories) na wengineo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Christina Lucas


Latest Post

Latest Tags