Shehe ahukumiwa kifo kwa kukufuru

Shehe ahukumiwa kifo kwa kukufuru

Kutoka nchini Nigeria ambapo hukumu imetolewa na Mahakama ya Sharia, Jimbo la Kano baada ya Abduljabar Nasir Kabara kukutwa na hatia ya kumkufuru Mtume Muhammad na uchochezi kupitia baadhi ya mahubiri yake, ingawa amekanusha Mashtaka hayo.

Aidha Kabara (52) anashikiliwa na Mamlaka tangu Julai 2021. Kano ni miongoni mwa Majimbo Kaskazini mwa Nigeria  ambapo Sharia inatekelezwa pamoja na Sheria za Nchi hiyo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags