Shabiki wa Yanga na bango la 5g kwenye uwanja wa Arsenal

Shabiki wa Yanga na bango la 5g kwenye uwanja wa Arsenal

Shabiki wa ‘Klabu’ ya Yanga anayefahamika kwa jina la Maalim Nash ameendelea kusimika mabango ya 5G katika viwanja vikubwa mbalimbali vilivyopo nchini Marekani.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa shabiki huyo ame-share video ikimuonesha akiwa nje ya uwanja wa Arsenal akimpa taarifa Afisa Habari Yanga, Ali Kamwe kuwa bango la magoli 5-1 dhidi ya simba limefika Emirate stadium huku akidai kuwa hakuna siri tena hadi wachezaji wa ‘Klabu’ hiyo wanajua kama kuna ‘timu’ Tanzania ilifungwa goli 5.

‘Mechi’ hiyo ambayo ilichezwa Novemba 5, mwaka huu ambapo ‘Klabu’ ya Yanga iliibuka na ushindi wa bao 5-1 dhidi ya watani wao Simba.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags