Rule adai kuwa aliwahi kumpiga 50 Cent

Rule adai kuwa aliwahi kumpiga 50 Cent

‘Rapa’ Ja Rule kutoka nchini Marekani amedai kuwa aliwahi kumpiga mwanamuziki mwenzie 50 Cent katika moja ya pambano miaka ya nyuma.

Rule kufuatiwa na mahojiano aliyofanya na Piers Morgan alijibu hivyo baada ya kuulizwa kama alishawahi kupigana na Cent ambapo alidai kuwa ilishawahi tokea alimpiga katika pambano na aliibuka mshindi.

Licha ya wawili hao kuchakazana katika pambano pia wana bifu zito ambalo limedumu kwa miaka 25 sasa.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags