Ronaldo akumbukwa na timu yake ya zamani

Ronaldo akumbukwa na timu yake ya zamani

Ikiwa imetimia miaka 20 tangu aondoke mchezaji Cristiano Ronaldo katika ‘klabu’ ya Ureno  Sporting CP, imempa heshima mchezaji huyo kwa kuzindua ‘jezi’ ya tatu ikiandikwa jina lake kwenye ‘jezi’ ya klabu hiyo.

Mshambuliaji huyo ambaye alicheza ‘mechi’ yake ya kwanza ya ‘soka’ la kulipwa akiwa na Sporting CP mwaka 2002, katika mechi yao dhidi ya Inter Milan, na kuwa moja ya zao la kipekee ililo leta mafanikio kwa kuwa na kiwango bora kila msimu.

Jezi hiyo iliyobeba rangi nyeusi na gold, ambayo upande wa kulia kifuani imewekwa herufi za kwanza za Jina la mcheazi huyo “CR7”

Gwiji huyo ambaye kwa sasa yupo katika ‘klabu’ kubwa ya Saudi Arabia Al Nassr FC akiendele kuonyesha umahiri wake katika ‘soka’.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags