Ronaldo afikisha wafuasi milioni 500 Instagram

Ronaldo afikisha wafuasi milioni 500 Instagram

Staa wa Manchester United na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo amekuwa mtu wa kwanza kufikisha wafuasi milioni 500 kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram.

Aidha Lionel Messi anashika nafasi ya pili akiwa na wafuasi milioni 375.64 na nafasi ya tatu inashikiliwa na mrembo na mwanamitindo kutoka familia ya Kardashian Kylie Jenner.

Hata hivyo Ronaldo yupo timu ya Taifa ya Ureno nchini Qatar kwenye kombe la Dunia, Ureno itafungua dimba Novemba 24 dhidi ya Ghana.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post