Romyjons: Msiache kuja kunizika na kuniombea pepo

Romyjons: Msiache kuja kunizika na kuniombea pepo

Romyjons ambaye ni kaka wa Diamond aonesha hisia za upendo kwa mashabiki wake baada kukutana nao.

Romy ambaye ni Dj ametoa shukrani zake kwa mashabiki wake kwa kuwaambia, amefanya research ndogo na kugundua kuwa watu wana mapenzi makubwa na yeye.

Kutokana na hilo amedai kuwa hana cha kuwalipa zaidi ya kushukuru na kusalimiana na mashabiki popote watakapo muona, Romy akaenda mbali zaidi na kuwaomba mashabiki kuwa wasiache kwenda kumzika na kumuombea pepo siku atakayo tangulia mbele za haki.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags