Rayvanny na Dayoo waupania mwaka 2024

Rayvanny na Dayoo waupania mwaka 2024

Baada ya kuachia ‘kolabo’ ya ngoma ya ‘Huu mwaka’ mwanamuziki #Rayvanny ameweka wazi kuachia filamu maalumu ya wimbo huo inayotarajiwa kutoka siku ya kesho januari 31 saa nne kamili asubuhi.

Video ya ‘Huu mwaka’ ya #Dayoo aliyomshirikisha #Rayvanny mpaka kufikia sasa ina zaidi ya watazamaji milioni moja kupitia mtandao wa #YouTube ikiwa na wiki mbili tuu tangu kuachiwa kwake.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags