Pyramids yambwaga Pachecco

Pyramids yambwaga Pachecco

Aliyekuwa ‘kocha’ mkuu wa ‘klabu’ ya #PyramidsFC kutoka nchini #Misri, #JaimePachecco amefukuzwa kazi kama ‘kocha’ mkuu klabuni hapo kutokana na mwenendo usio ridhisha wa ‘timu’ hiyo.

Kocha huyo mwenye umri wa miaka 63 ameongoza ‘klabu’ hiyo na kuipatia ushindi katika ‘mechi’ 31,  sare 14, kufungwa 12, huku ilifanikiwa kufunga magoli 117 na Kurusu mabao 77 nyavuni.

Ikumbukwe #Pachecco alianza kukinoa kikosi cha #PyramidsFC mwaka jana akichukua nafasi ya ‘kocha’ Takis Gonias, akidumu kwa mwaka mmoja tuu ‘klabuni’ hapo.
.
.
.
#MwanachiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags