PSG yaondoa picha za Mbappe nje ya uwanja

PSG yaondoa picha za Mbappe nje ya uwanja

Baada ya kuwa na tetesi kuhusiana na mchezaji kutoka ‘klabu’ ya PSG Kylian Mbappe kuondoka katika ‘timu’ hiyo.

Tetesi hizo zimeanza kuthibitika baada ya nje wa uwanja wa PSG unaoitwa the Parc des Princes kuonekana watu wakitoa mabango yenye picha ya  Mbappe wanaodaiwa kuwa ni wahusika wa ‘klabu’ hiyo.

Mchezaji huyo bado hajafikia hatima yake na uongozi wa ‘klabu’ hiyo japo amebakisha mkataba wa mwaka mmoja na inadaiwa kwamba ‘jezi’ zilizokuwa na jina lake zimetolewa katika duka la ‘timu’ hiyo






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags