PSG wa msaka mrithi wa Mbappe

PSG wa msaka mrithi wa Mbappe

Imeripotiwa kuwa viongozi wa ‘klabu’ ya #PSG wametua nchini Italia kuitafuta saini ya mshambuliaji wa ‘klabu’ ya #InterMilan, #MarcusThuram kuziba pengo la #KylianMbappe.

Thuram ambaye amekuwa na kiwango bora msimu huu katika ‘ligi’ ya Serie A tayari amecheza ‘mechi’ 29, amefunga mabao 10 na kutoa ‘pasi’ za mabao saba.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 huwenda ataenda katika ‘klabu’ hiyo kurithi nafasi ya Mbappe anayetajwa kuelekea #RealMadrid mwishoni mwa msimu huu.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags