Paula:Siwezi kumuongelea Rayvanny nina mpenzi

Paula:Siwezi Kumuongelea Rayvanny Nina Mpenzi

Aloooh weeh,Alooh tena Paula Kajala  ameamua rasmi kufunguka kuhusu suala la mahusiano yake kwa sasa ambapo ameweka wazi kuwa ana Boyfriend wake mwingine.

Paula ametoa kauli hiyo wakati akihojiwa na chombo cha habari kuhusiana na mahusiano yake na Msanii wa bongo fleva Rayvanny na kutoa kauli hii hapa.

"Siwezi Kuongea Kuhusu Rayvanny lakini nina Boyfriend kwa sasa.....Tutajua Ijumaa" Amesema Paula Kajala.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post