Paula: Nimewekeza Milioni 500

Paula: Nimewekeza Milioni 500

Katika kuelekea siku ya Ijumaa mtoto wa Msanii wa Bongo movie Paula Kajala amesema kuwa anajambo lake kubwa atakalolifanya wiki hii ambapo amewekeza kiasi cha fedha za kitanzania Tsh Milioni 500.

Paula amezungumza kauli hiyo wakati akifanyiwa mahojiano na kituo kimoja cha televisheni huku akisisitiza ukubwa wa jambo lake.

"Ni Kitu Kikubwa Sana Ijumaa Kinafanyika ....Gharama Yake Nimewekeza TSH.MILIONI 500" – Paula Kajala.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post