Onana atua Cameroon

Onana atua Cameroon

'Kipa' wa zamani wa ‘klabu’ Manchester United, Andre Onana, amerejeshwa tena kwenye kikosi cha 'Timu' ya Taifa ya Cameroon miezi 10 baada ya kustaafu kucheza 'soka' la kimataifa kutokana na tofauti zake na 'kocha' wa 'timu' ya Rigobert Song.

Ni baada ya star huyo kuonyesha kiwango bora na kusajiliwa na Man U atajumuika na Cameroon kwenye 'mechi' za kufuzu katika Kombe la Mataifa ya Afrika, dhidi ya Burundi mnamo Septemba 12.

Cameroon wanahitaji point moja pekee ili kushiriki michuano ijayo ya AFCON, ambayo itaandaliwa na Ivory Coast mwezi Januari.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags