Ommy Dimpoz: Kama hauna i phone 15 usinisalimie

Ommy Dimpoz: Kama hauna i phone 15 usinisalimie

Msanii wa muziki nchini #OmmyDimpoz ame-share video katika InstaStori yake akionyesha simu yake mpya ya I phone 15 na kuandika ujumbe wa matani akiwaambia watu kama hawana aina hiyo ya simu aliyonayo basi wasimsalimie.

Dimpozi ameandika“Kama hauna I phone 15 1TB usinisalimie hivi kwanza hizo simu zenu hata msg zinatuma kweli?”
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags