Nick Cannon atamani kuzaa na Taylor Swift

Nick Cannon atamani kuzaa na Taylor Swift

Mtngazaji wa kipindi cha The howard stern kinacho rushwa na sirius XM Nick Cannon ambaye ana watoto mapacha aliozaa na Mariah Carey huku wengine wakiwa na mama tofauti amesema hana uhakika kuhusu kuongeza mtoto wa 13.

Lakini kama itatokea, basi mama wa mtoto anatakiwa kuwa mzuri na wa kuvutia sana, na ikitokea basi amechagua kuzaa na mwanamuziki wa pop Taylor swift jambo ambalo Nick alikiri nakusema kuwa

“Swift ni sahihi kabisa na niko tayari kupata nae mtoto”

Swift ambaye yuko single kwa sasa baada ya kuachana na mchumba wake waliyedumu kwa miaka 6 mwigizaji Joe Alwyn masanii huyo hajazungumza chochote kama yupo tayari kuzaa na Nicki Cannon






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags