Neymar na mpenzi wake watarajia kupata mtoto

Neymar na mpenzi wake watarajia kupata mtoto

Ooooooh! Kama tunavyojua bwana tumeambiwa tuje tuzaliana na tuijaze dunia basi bwana unaambiwa star wa timu ya Brazil na klabu ya Psg Neymar pamoja na mpenzi wake Bruna Biancardi wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza wakiwa pamoja.

Kuptitia Instagram ya mwanadada huyo ameandika kuwa
“We dream about your life, plan your arrival and knowing that you are here to complete our love, makes our days much happier You will arrive in a beautiful family, with your brother, grandparents, uncles and aunties who already love you very much, Come soon son, we are waiting for you” ameandika Bruna

Akiwa anamaana ya kumsubiri kwa hamu mtoto huyo  na kumkaribisha katika familia yako yenye furaha na Amani.

Ikumbukwe tuu Neymar tayari ana mtoto mmoja wakiume anaejulikana kwa jina la David Lucca aliyempata na mwanadada Carol Dantas mwaka 2011 Neymar akiwa na miaka 19 Tu.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags