Neymar na Bruna wapata mtoto

Neymar na Bruna wapata mtoto

Mchezaji kutoka ‘klabu’ ya Al Hilal ya nchini Saudi Arabia Neymar Jr, na mpenzi wake Bruna Biancardi wametangaza ujio wa mtoto wao mchanga ambaye wamempatia jina la Mavie.

Neymar kupitia ukurasa wake wa Instagram ame-share picha za mtoto wake huyo iliyoambatana na ujumbe ukieleza kuwa mtoto wao huyo anaitwa Mavie amekuja kuwakamilishia furaha yao huku akimshukuru kwa kuwachagua wawili hao.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags