Neymar avunja rekodi ya Pele

Neymar avunja rekodi ya Pele

Mchezaji wa ‘klabu’ ya Al Hilal kutoka Saud Arabia na Timu ya Taifa ya Brazil, Neymar Jr amevunja rekodi ya mchezaji mkongwe marehemu Pele baada ya kufikisha magoli 79 kwa Brazil.

Neymar amevunja rekodi hiyo baada ya kuifungia nchi yake magoli mawili katika ‘mechi’ dhidi ya Bolivia ambapo walipata ushindi wa mabao 5-1.

Neymar amefikisha magoli 79 wakati nguli wa soka Pele alikuwa na magoli 77 hivyo basi mshambuliaji huyo wa Al Hilal kwa sasa amekuwa mfungaji bora wa muda wote wa Brazil.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags