Neymar ashangazwa na hali ya uwanja wa Azadi

Neymar ashangazwa na hali ya uwanja wa Azadi

Mchezaji wa zamani wa PSG ambaye kwa sasa anakipiga katika ‘timu’ ya Al-Hilal ameshangazwa na baada ya kuona hali ya uwanja wa Azadi kutoka nchini Iran, wakati ‘klabu’ yake ikijianda kuingia  dimbani na ‘timu’ ya Nassaji Mazandaran FC katika mchezo wa ‘Ligi’ ya Mabingwa ya Asia (AFC).

Video hiyo imesambaa kupitia mtandao wa X ikionesha watengenezaji wa uwanjwa wakiweka nyasi katika zege kitendo ambacho kilimshangaza mchezaji huyo na kuandika kuwa “hii haiwezekani” ambapo alimalizia kwa emoji ya kucheka.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags