Ndoa ya Rayvanny na Paula yanukia

Ndoa ya Rayvanny na Paula yanukia

Eebwana huko mitandaoni hapa inayobamba ni ya Star wa muziki wa bongo fleva Rayvanny kudai kuwa anafikiria kufunga ndoa hivi karibuni na mtoto wa muigizaji maarufu Kajala Masanja, Paula Masanja.

Hayo yamejiri baada ya msanii huyo kupost katika Insta Story yake na kuandika maneno ambayo yameashiria kuwa yupo katika penzi zito ambalo limemfanya awaze masuala ya ndoa mapema.

Kupitia Insta story yake Rayvanny amepost ujumbe unaosomeka “I can’t wait for my wedding,” ameandika msanii huyo anayetamba kwa sasa na nyimbo yake ya Sweet aliyemshilikisha msanii Guchi

Maneno hayo yamewaaminisha watu huko mitandao ambao wengi wao wanasema uwenda jambo hilo likawa siku za hivi karibuni.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags