Mwijaku amtolea povu Maua Sama

Mwijaku amtolea povu Maua Sama

Moja kati ya taarifa iliyozua gumzo huko kwenye mitandao ya kijamii ni hii hapa inayohusisha comment ya Mwijaku kuhusu Maua Sama kuwa karibu na Msanii mwenzie Jux.

Koment hiyo imekuja baada ya page moja kupost video ikiwaonyesha wawili hao kuwa karibu sana jambo ambalo Mwijaku ameeleza kuwa anajirahisisha mno kwa msanii Jux.

Ebwana hii hapa comment ya Mwijaku akiwa ameandika ujumbe huu hapa


''Inaonekana Maua anajirahisisha mnooo ..mwambieni asije pata mimba kama rafiki yake alafu akazuiwa asinyonyeshee kwa masharti ya kitabibuu” aandika mwijaku.

hata hivyo hakuna mmoja kati yao (Jux na Maua) aliyethibitisha ama kukanusha uhusiano huo.

Dondosha maoni yako hapo kuhusiana na hicho ambacho anakizungumza Mwijaku kwa Maua Sama kwani kuna ubaya mtu kuwa karibu na msanii mwenzake? funguka






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags