Mwanaume Songwe akamatwa kwa kumuua, kumchoma kama mishakaki na kumla mwenzake

Mwanaume Songwe akamatwa kwa kumuua, kumchoma kama mishakaki na kumla mwenzake

Lazaro Adamson mwenye umri wa miaka (40) mkazi wa Kaloleni, wilayani Songwe, anashikiliwa na polisi mkoani humo kwa kumuua Berta Shugha (69) na kisha kuukatakata mwili wake vipande vipande, kuuchoma na kuanza kuula kama mishikaki.

Mkuu wa wilaya hiyo Simon Simalenga amesema mtuhumiwa alidai kwamba alimuua mwanamke huyo kwa kumpiga panga kisogoni na katikati ya kichwa na kwamba alipopoteza maisha ndipo akaanza kumkatakata.

Duuuuuuh! Ama kweli dunia imekwisha, embu dondosha komenti yako hapo chini ni tukio gani la kushangaza lishawahi kutokea mtaani kwenu?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags